
@shyrosebhanji Hivi ndivyo wasemavyo watanzania katika kampeni ya boresha chekechea http://t.co/UlSXQfz0

@zittokabwe Hivi ndivyo wasemavyo watanzania katika kampeni ya boresha elimu ya awali http://t.co/UlSXQfz0 je unawaambiaje Mheshimiwa

Hivi ndivyo tusemavyo watanzania kuhusiana na elimu ya awali http://t.co/UlSXQfz0 @RNMsuya @halimamdee @BernardMembe @nape_nnauye

TUNATHUBUTU KUSEMA MPAKA SASA HUU NDIO UJUMBE WENYE HISIA NA UTAKAOWAGUSA WENGI KULIKO WOWOTE KTK ALBUM YA KIHISTORIA http://t.co/UlSXQfz0

@HadySchool Kwa kweli mmetu "surprise" na picha zenu , du what a creativity watoto wa praiveti haya ujumbe wenu umefika #boreshachekechea

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KAMPENI YA ELIMU YA AWALI NCHINI KUTOKA KWA HAKIELIMU http://t.co/NjnQwEu6

@Hakingowi Shukrani kwa kuufikishia umma taarifa kuhusu kampeni ya boresha chekechea utakuwa umesaidia watoto wetu wa kitanzania wasome vema