
Hivi ndivyo tusemavyo watanzania kuhusiana na elimu ya awali http://t.co/UlSXQfz0 @RNMsuya @halimamdee @BernardMembe @nape_nnauye
Maoni (0)

TUNATHUBUTU KUSEMA MPAKA SASA HUU NDIO UJUMBE WENYE HISIA NA UTAKAOWAGUSA WENGI KULIKO WOWOTE KTK ALBUM YA KIHISTORIA http://t.co/UlSXQfz0

@HadySchool Kwa kweli mmetu "surprise" na picha zenu , du what a creativity watoto wa praiveti haya ujumbe wenu umefika #boreshachekechea

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KAMPENI YA ELIMU YA AWALI NCHINI KUTOKA KWA HAKIELIMU http://t.co/NjnQwEu6

@Hakingowi Shukrani kwa kuufikishia umma taarifa kuhusu kampeni ya boresha chekechea utakuwa umesaidia watoto wetu wa kitanzania wasome vema

HILI NDILO TAMKO LA HAKIELIMU KUHUSU KAMPENI YA ‘BORESHA ELIMU YA CHEKECHEA http://t.co/NjnQwEu6