
Pressconference:Tunaamini kwamba mahakama italiangalia suala hili na kutenda haki, lakini wajibu wa Bunge uko pale pale #mgomowalimu
Maoni (0)

PressConference: Inasikitisha kwamba Bunge linakwepa kujadili tatizo hili kwa maelezo kwamba liko mahakamani #mgomowalimu

Bunge litenge muda kujadili suala hili kwa kina na kuishauri serikali, hasa kuhusu tahadhari za kuchukua ili tatizo kama hili lisitokee tena

PressConference: Wanafunzi hawawezi kujifunza bila walimu; na walimu bila kufundisha kwa moyo #MgomoWalimu

Pressconference: HakiElimu inatambua kuwa walimu wamekuwa na mgomo baridi kwa muda mrefu sasa #Mgomowalimu

@Hakingowi Kesho saa 4 asubuhi kutakuwa na mkutano na waandishi wa habari kutoa tamko juu #MgomoWalimu