Envaya

HakiElimu

Habari

Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri
Haki Elimu HakiElimu

@EceJay watoto waliotutembelea ofisini leo walifurahi sana waliposoma tweet yako ya mwisho wakaaanza" background epbss na ujumbe wako eti >>

Haki Elimu HakiElimu

@FlavianaMatata >> eti we hope to see her in a pic na ujumbe wake atakuwa na background ya "raniwei" wengine foundation" du great icon

Haki Elimu HakiElimu

@FlavianaMatata wanafunzi waliokuwepo leo ofisini walifurahi kusoma tweet yako na hivi ndivyo walivyosema "tunasubiri ujumbe wa dada kwa >>

Haki Elimu HakiElimu

Msg in TV Screens,Tablets, Projectors,Blackboards,Cars used in pre- primary schools campaign http://t.co/vX7o1GDg Join us with your style

Haki Elimu HakiElimu

@FlavianaMatata shukrani sana dada yetu umekuwa siku zote mstari wa mbele kuikumbuka jamii ya kitanzania, tanzania is proud of you

Haki Elimu HakiElimu

HILI NDILO TAMKO LA HAKIELIMU KUHUSU KAMPENI YA ‘BORESHA ELIMU YA CHEKECHEA http://t.co/NjnQwEu6

Haki Elimu HakiElimu

@RebecaGyumi Tukushukuru wewe pia kwa majukumu yako katika kujenga nchi yetu, safari njema dada

Haki Elimu HakiElimu

@RebecaGyumi ni hakielimumedia@gmail.com au waweza tuma kwenda media@hakielimu.org

Haki Elimu HakiElimu

@FlavianaMatata >>>> kwa njia mojawapo kati ya hizi hapa http://t.co/Wer7idym ili ujumbe wako ufike kwa wengi