
@tonytogolani << Ujumbe wako utoe maoni, mapendekezo yanayoweza kuboresha elimu ya awali na utaingia katika album hii http://t.co/Wer7idym

@tonytogolani Tumezindua kampeni yenye lengo la kuboresha elimu ya awali nchini na ushiriki wako ni kutuma picha ukiwasilisha ujumbe wako>

@Semkae @policy_F @MariaSTsehai cant wait to have you in the album thanks for the encouraging words we are learning much from you twitfam

@Sajjo confirmed received your demonstration and you will attract many with your creativity that was a nice one

@Semkae @MariaSTsehai Kaka na dada salamu kwenu, naomba niwape taarifa rasmi kuwa tumezindua kampeni ya #boreshachekechea karibuni sana

@Sajjo kaka shukran sana nitaupitia kidogo naona tanesco wamekorofisha mji leo lakini pongezi sana kwa kuwa mmoja wa wanamabadiliko

Be creative and send the message to your fellow on how we can help to fix this? #boreshachekechea http://t.co/zUHjF4t3

@RNMsuya hii ilikuwa kali ya leo, inaitwa onyesha hisia zako au tuma ujumbe wako kimya kimya na bado utafika tu, #boreshachekechea

@bahatty this information worthy in this campaign #boreshachekechea please let us know the name of this school so we can pay a visit soon

@Hakingowi shukrani mdau tuungane tena kuangazia elimu ya "chekechea" katika shule zetu, safari hii tunasubiria picha yako na ujumbe