Log in
HakiElimu

HakiElimu

Dar Es Salaam , Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations
Haki Elimu HakiElimu

Maelfu ya Wanafunzi walioko shuleni nchini Tanzania hawawezi kusoma ujumbe huu. Tuungane kuwaelimisha kuwa KUSOMA... http://t.co/BRhaWpIZ

Haki Elimu HakiElimu

Has reading changed your life? Share your story and you could win an e-reader or camera. http://t.co/oLqGw1Qi or follow @GPforEducation

Haki Elimu HakiElimu

@MtengeseMlay A great opportunity for students in Tanzania, Kudos Standard Charted Bank Tanzania for this program(inspiration)

Haki Elimu HakiElimu

Mkuu wa Wilaya ya Handeni asambaratisha ndoa ya mwanafunzi wa kidato cha kwanza, Aongoza kutibua fungate... http://t.co/Z7VVGLsK

Haki Elimu HakiElimu

Maarifa na stadi hayahitaji kiingereza ndani yake - Dr. Lwaitama #StarTV #MarafikiwaElimu

Haki Elimu HakiElimu

Sisi wa bara la Afrika tunachanganya mambo katika kupata maarifa angalia lugha inayotumika kufundishia awali,msingi,sekondari,vyuovikuu

Haki Elimu HakiElimu

Sera inatakiwa iangalie wananchi walio wengi wanatumia Lugha ghani kisha ndio iwe lugha ya kufundishia - Dr. Martha Qorro #Marafikiwaelimu

Haki Elimu HakiElimu

Mwalimu anakufundisha lugha ya kiingereza mwanafunzi anatafakari na kufikiri kwa lugha ya kiswahili - Dr Lwaitama #startv #marafikiwaelimu

Haki Elimu HakiElimu

Kamati kwa lugha ya kikurya ni Wifi sasa fikiria uko darasani mkoa wa Mara #Marafikiwaelimu #StarTV