Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations
Haki Elimu HakiElimu

@UhuruBlogTZ @Ritaupara where did you get that? dont put word on us the point was a language that students can master and that is swahili

Haki Elimu HakiElimu

Serikali kushindwa kuona baadhi ya matatizo katika elimu inadhihirisha kuna matatizo na kiwango cha ekimum kimeshuka hadi kushindwa kutambua

Haki Elimu HakiElimu

"Kuna walimu wa party time wanakuja kwetu private wanayoa A na B lakini mwalimu huyo huyo anatoa D na F shul http://t.co/gtNSlr12

Haki Elimu HakiElimu

Mzungumzaji hapa anazungumzia bejeti kutokuzungumzia ujenzi wa mabweni katika shule za kata, wadau mnasemaje #bajetielimu

Haki Elimu HakiElimu

@UhuruBlogTZ ni uhuru wa mawazo unaheshimika lakini tafiti na wataalam wa elimu havikubakiani na mawazo yako wewe

Haki Elimu HakiElimu

Suala la mabadiliko ya sera ya elimu ameligusia waziri sasa tunahitaji kuliona likitekelezwa kwani ahadi nyingi zimeshatolewa bila mafanikio

Haki Elimu HakiElimu

Waziri amezungumzia suala jema la kuanzisha shule za Advanced level kila tarafa lakinu isikurupuke katika hili kama ilivyokuwa katika kata

Haki Elimu HakiElimu

Serikali inatafsiri mahudhurio ya walimu darasani ndio kutokugoma hii inaonyesha jinsi wasivyojua maana ya mgomo #bajetielimu

Haki Elimu HakiElimu

Kuna mgogoro mkubwa kati ya serikali na walimu na serikali iache kudanganyaa hasa ilipowaondoa kwenye sensa - Gratian Mkoba