Fungua
HakiElimu

HakiElimu

Dar Es Salaam , Tanzania

Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri
Haki Elimu HakiElimu

#bajetielimu now listening to Dr Shukuru Kawambwa, Minister of Education and Vocational Training

Haki Elimu HakiElimu

Sasa tunasikiliza bajeti ya elimu inayosomwa bungeni na Mh Shukuru Kawambwa kisha kutakuwa na uchambuzi na majadiliano endelea kutufuatilia

Haki Elimu HakiElimu

unapotizama katika suala la gharama za elimu unaangalia usawa na tija -Dr.Mkenda #bajetielimu

Haki Elimu HakiElimu

@omarilyas uko sawa kabisa ni hatua ifuatayo baada ya kusoma swali ni kwamba utahoji nini katika kitabu kama hujakisoma?

Haki Elimu HakiElimu

@ShukuruKawambwa tunsubiri bajeti yako tukiamini itazingatia usawa na ubora katika elimu #bajetielimu

Haki Elimu HakiElimu

@bajetielimu tuhakikishe wanaopata fursa ya kusoma ni wale wenye uwezo darasani na siyo wenye wazazi wenye uwezo kifedha

Haki Elimu HakiElimu

@sophyb2010 @Jahhu Je, ni kweli kwamba fedha tulizonazo zinaturuhusu kufanya vyote kwa wakati mmoja?

Haki Elimu HakiElimu

#bajetielimu Ukombozi wa taifa hili utakuja kupitia elimu ya umma na siyo binafsi; je, wangapi tumeridhika na hali ya elimu yetu ya umma?

Haki Elimu HakiElimu

#bajetielimu Tusipozingatia usawa katika elimu tutapoteza kipaji vingi na kukuza chuki ndani ya jamii

Haki Elimu HakiElimu

#bajetielimu Inequality in education undermines efficiency of the education system.