Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations
Haki Elimu HakiElimu

@NancyLazaro Je mwalimu huyu alikuwa ni wa shule ya msingi au darasa la awali (chekechea)

Haki Elimu HakiElimu

#TafakariChukuaHatua kama bado hukumbuki leo ni #SikuYaWalimu na watu wanawapa pongezi walimu wao waliowafuta ujinga

Haki Elimu HakiElimu

EXCLUSIVE: Mwanamuziki wa R&B @IamBenPol ashiriki katika kampeni ya #boreshachekechea na hivi ndivyo alivyoshiriki http://t.co/7WMS9HMV

Haki Elimu HakiElimu

Ben Pol, Tanzania Music Artist , R&B Singer , Kilimanjaro music awards 2011 for Best R&B song of year and... http://t.co/7WMS9HMV

Haki Elimu HakiElimu

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KAMPENI YA ‘BORESHA ELIMU YA CHEKECHEA http://t.co/NjnQwEu6 http://t.co/EMjE57Kq

Haki Elimu HakiElimu

@EmmanTarimo Embu tukumbushe kwa nini umemkumbuka mwalimu NDONDE unakumbuka somo la kwanza toka kwake #SikuyaWalimu

Haki Elimu HakiElimu

@BatsyM Big Up kwa Mama naona ana ujumbe mzuri ona hapa http://t.co/IYQn8sV4 mjibu basi naye #SikuyaWalimu

Haki Elimu HakiElimu

@shilindeson Mwalimu alifanya kazi kubwa sana je unaweza ukatupa beti moja tu Hongera sana Mwalimu Tatu #SikuyaWalimu

Haki Elimu HakiElimu

@BatsyM Alikufundisha nini ambacho kimefanya umkumbuke na mtaje jina basi ili naye tumpe heshima yake kwa kukutoa "ujinga" #SikuyaElimu

Haki Elimu HakiElimu

Hizi ndizo picha 50 za Watanzania wa Kwanza "waliothubutu" kutuma ujumbe kwa "wahusika" ili tuokoe 'chekechea".Ona hapa...