@omarilyas uko sawa kabisa ni hatua ifuatayo baada ya kusoma swali ni kwamba utahoji nini katika kitabu kama hujakisoma?