TAMKO LA HAKIELIMU KUHUSU MGOMO WA WALIMU
Shirika la HakiElimu limetoa tamko kuhusu mgomo wa walimu unaoendelea nchini. Pichani ni Mkurugenzi wa Shirika hilo,Bi Elizabeth Missokia akitoa tamko hilo mbele ya wandishi wa habari aliokutana nao jana tarehe 02/082012 kabla ya mahakama kuu kitengo cha kazi kusema mgomo huo ni batili na walimu warudi kufundisha. |
From:
Haki Elimu
Views:
3
![]() ![]() ![]() ![]() ![]() 0
ratings | |
Time: 03:40 | More in Nonprofits & Activism |