Wanafunzi wa shule msingi Misunkumilo ya wilayani Nkasi wakisoma kwenye darasa lililoezakwa kwa turubai, shule hiyo ina madarsa mawili ya namna hiyo ambayo yanatumiwa na wanafunzi wa darasa la tatu, la nne na la awali. Shule hii ipo mita 400 tu kutoka makao makuu ya wilaya ya nkasi. |