Injira
HUMAN RIGHT AGENCY FOR RURAL DEVELOPMENT

HUMAN RIGHT AGENCY FOR RURAL DEVELOPMENT

CHEMBA, Tanzania

Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Icyongereza. Edit translations

SHIRIKA LINATOA HUDUMA ZA MSAADA NA USAIDIZI WA KISHERIA KATIKA KATA NA VIJIJI VYA  KIDOKA. KAMBI YA NYASA. CHEMBA. MRIJO CHINI. ELBOLOTI. CHEKU. WAHIDA. KELEMA. MOMBOSE NA MAKORONGO  AMBAPO WASAIDIZI WA KISHERIA WANAISHI MAENEO HAYO.

VILE VILE, SHIRIKA LINAFANYA MIKUTANO YA KUHAMASISHA MAENDELEO NA KUFUNDISHA HAKI ZA BINADAMU NA SHERIA MBALIMBALI ILI KUONGEZA UELEWA WA JAMII JUU YA SHERIA, WAJIBU NA HAKI ZA BINADAMU KATIKA KUCHOCHEA MAENDELEO NA USTSWI WA BINADAMU