Envaya
Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri

Kutoa elimu ya haki za binadamu na kuhamasisha Utawala wa sheria.

Kutoa elimu juu ya sheria.

kuhamasisha maendeleo katika jamii.

kutoa usaidizi wa kisheria na kutatua migogoro katika jamii.

Kuhamasisha maendeleo kwa kuzingatia matumizi bora ya rasilimali zinazoizunguka jamii.

Kutunza na kulinda mazingira.

kutoa elimu ya afya ya uzazi na malezi.

kutoa elimu ya usalama wa chakula.

kuhamasisha kilimo bora na chenye tija.

 

 

Mabadiliko Mapya
HUMAN RIGHT AGENCY FOR RURAL DEVELOPMENT imeumba ukurasa wa Timu.
UONGOZI WA SHIRIKA. – Mwenyekiti. EUGENE P. MAWELE. Makamu. AMINA A. OMARY. Katibu mkuu. ASHURA DUI. Katibu msaidizi. MOHAMED KIMANYI. Mhazini. RESTITUTA H. GACHA ... Soma zaidi
18 Machi, 2015
HUMAN RIGHT AGENCY FOR RURAL DEVELOPMENT imeumba ukurasa wa Miradi.
SHIRIKA LINATOA HUDUMA ZA MSAADA NA USAIDIZI WA KISHERIA KATIKA KATA NA VIJIJI VYA KIDOKA. KAMBI YA NYASA. CHEMBA. MRIJO CHINI. ELBOLOTI. CHEKU. WAHIDA. KELEMA. MOMBOSE NA MAKORONGO AMBAPO WASAIDIZI WA KISHERIA WANAISHI MAENEO HAYO. – VILE VILE, SHIRIKA... Soma zaidi
18 Machi, 2015
HUMAN RIGHT AGENCY FOR RURAL DEVELOPMENT imeumba ukurasa wa Historia.
SHIRIKA LILIANZISHWA MWAKA 2013, NA KUPATA USAJILI MWAKA 2014. SHIRIKA LILIANZA BAADA YA WAANZILISHI KUPATA MAFUNZO YA USAIDIZI WA KISHERIA NA KUTAKIWA KUHUDUMIA JAMII, HIVYO KWAKUZINGATIA WASHIRIKI WA MAFUNZO HAYO WALIKUWA WANATOKA MAENEO MBALIMBALI YA WILAYA YA CHEMBA, NA KWAKUZINGATIA UMUHIMU WA KUIHUDUMIA JAMII, WASHIRIKI AMBAO IDADI YAO NI... Soma zaidi
18 Machi, 2015
HUMAN RIGHT AGENCY FOR RURAL DEVELOPMENT imejiunga na Envaya.
14 Machi, 2015
Sekta
Sehemu