Envaya
TAARIFA ZA MWAKA 2012 TUMEOMBA RUZUKU FOUNDATION FOR CIVIL SOCIETY KWA AJILI KUELIMISHA SHERIA YA UKIMWI YA MWAKA 2008
tumetoa misaada kawa yatima,tumesha hamasisha jamii kwenda kupima ukimwi,tumesha wanunulia viaa mbali mbali watoto ambo hawakuwa na vyo na kupelekea kutoto kwenda shule na sasa wana hudhuria masomo kama kawaida.
Tumesha wasaidia wanaoishi na virusi vya ukimwi walio athirika kisaikorojia kuweza kujitambua na kuishi kwa ma tumaini na mikakati.