Envaya

Henry Merere Mwenyekiti wa Asasi ya Mapambazuko amepata fursa ya kutoa mafunzo kwa makazi wa Wilaya ya busokelo juu ya utengenezaji na utumiaji wa majiko banifu.