Log in
MAPAMBAZUKO ILEMBULA

MAPAMBAZUKO ILEMBULA

Wang'ingombe, Tanzania

Henry Merere Mwenyekiti wa Asasi ya Mapambazuko amepata fursa ya kutoa mafunzo kwa makazi wa Wilaya ya busokelo juu ya utengenezaji na utumiaji wa majiko banifu.