Kupunguza maambukizi mapya ya virusi nya ukimwi na kupiga vita unyanyapa kwa waishio na virusi na UKIMWI.
Mabadiliko Mapya
KIKUNDI CHA KUPAMBANA NA UKIMWI MTWARA imeongeza Habari.
shirika letu limeelimisha vijana au makundi rika kuhusu kujikinga na maambukizi mapya umimwi shirika letu limefanya kazi katika kata tano za wilaya ya mtwara ambazo ni kata ya jangwami mitengo likombe chiikongola kisungule pia shirika letu limeweza kugawa misaada kwa watu waishio na virusi nya ukimwi
18 Mei, 2011
KIKUNDI CHA KUPAMBANA NA UKIMWI MTWARA imejiunga na Envaya.
18 Mei, 2011
Sekta
Sehemu
Mtwara, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu
Tazama mashirika ambayo yapo karibu