Wajumbe wakisikiliza maelezo kutoka kwa mratibu wa mradi ndugu Edward ambaye hayupo pichani hapo. Huu ni wakati wa mafunzo yaliyoendeshwa na KIOO kwa ufadhiri wa The Foundation For Civil Society.
4 Machi, 2011
![]() | Umoja wa Wawezeshaji KiooIlagala, Tanzania |