Fungua
Umoja wa Wawezeshaji Kioo

Umoja wa Wawezeshaji Kioo

Ilagala, Tanzania

Umoja wa wawezeshaji kioo ni shirika lisilokuwa la kiserikali lenye makao yake makuu katika kijiji cha Ilagala na sasa lina uhitaji wa wafanyakazi wa kujitolea wapatao 5 kwenye maeneo yafuatayo:- Uandishi wa miradi, M&E specilists, mtunisha mfuko (fundrise office) na mtu wa IT kwa ajili ya kuweka kumbukumbu mbalimbali za shirika kwenye website yetu ambayo ni www.kioo.org