Envaya

large.jpg

Tourist site.Igeleke Rock Art is very attracting.The wether and its surroundings is good.Be among of hundreds people who visited and enjoy this natural view.

April 18, 2013
« Previous Next »

Comments (2)

Muhiche Boni (Ifakara anzania) said:
Big up mnafanya vizuri. Muendelee kuhifadhi mazingira ya mlima huo. Mkiweza tafuteni fedha za kuwasaidia zaid. Wote mumeshughudia maji yanakauka, mvua hainyeshi kwa sababu mazingira yameharibiwa sana.
May 5, 2013
IGELEKE MLIMA (via email) said:
Asante kwa ushauri wako.Tunajaribu kutafuta fedha lakini bado
hatujapata. Kama unaweza kutuunganisha na watu wa kutusaidia au
mashirika mengine ya kutusaidia tutashukuru sana.Kwa ujumla maeneo ya
milimani kwa sasa yanaharibiwa sana na shughuli mbalimbali za
kibinadamu na inakuwa vigumu sanakurudisha uoto wake ukilinganisha na
sehemu tambarale au nyika au eneo hoehevu.
Rev. M Ngulinzira.
MWENYEKITI-KIUMAKI
May 8, 2013

Add a comment

Your name:
Your location:
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.