Diwani wa kata ya Kongolo Mswiswi akiongea na wazee mara baada ya kuwakabidhi mbuzi wa kufuga, mradi huu umefadhiliwa na asasi ya KIWWAUTA na kujumuisha wazee mia nne (400) watakaonufaika.
22 Juni, 2013