Parts of this page are in Swahili. Edit translations
leo nimetembea ENVAYA NIMEKUTANA NA BAADHI YA WAFANYAKZI WA ENVAYA WAKIONGOZWA LILIAN MATARI HALIWEZA KUNIUDUMIA PAMOJA NA RADHINA KIPOZI. HAMBAYE HALIKUA MSIKIZAJI TU.
Comments (0)
niwakati nikiingia na mgeni pamoja na mzee wa mira ambaye ameteuliwa kusiliza mafunzo yaliyokuwa yanaendeshwa kwa wanawake wa jamii ya wafugaji
baadhi ya wanakikundi cha ujasilia mali wa jamii ya wafugaji wakitoa maelezo yao kwa mgeni aliye watenbelea