Fungua
MASWA NON GOVERNMENTAL ORGANIZATIONS NETWORK

MASWA NON GOVERNMENTAL ORGANIZATIONS NETWORK

mtaa wa biafra maswa mjini, Tanzania

Kuunganisha na kuratibu shughuri za asasi za kiraia wilayani maswa

kuwajengea uwezo viongozi wa Asasi za kiraia wilayani maswa

kufuatilia sera na kutoa elimu kwa jamii juu ya sera hizo pia kutoa elimu kwa jamii kuhusu utawala bora na utawala wa sheria

kuelimisha jamii kuhusu masuala ya mkukuta na kutetea haki za kijamii wilayani maswa

Mabadiliko Mapya
MASWA NON GOVERNMENTAL ORGANIZATIONS NETWORK imejiunga na Envaya.
1 Julai, 2011
Sekta
Sehemu
mtaa wa biafra maswa mjini, Shinyanga, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu