Parts of this page are in Swahili. Edit translations
Hii ni shule ya Sekondari Mruwia, ina kidato cha 1-4, shida kubwa ya shule hii ni Madawati, na Waalimu. Tungefurahi kama tungepata walimu wa kujitolea kutoka nchi za nje kwa kupitia exchanging programme.
January 29, 2011