Envaya

large.jpg

Hii ni shule ya Sekondari Mruwia, Kwa sasa ina kidato cha i-iv shule hii ni ya serikali lakini ina matatizo mengi hasa madawati kwa ajili ya kukalia wanafunzi, Vitabu hakuna kabisa, pia Walimu ni wachache sana. Tungefurahi kama tunaweza kupata walimu wa kujitolea kutoka nje kupitia, exchanging programs.

29 Januari, 2011
« Iliyotangulia Ifuatayo »

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.