Envaya

Kutoa na kupokea

Hubert (DODOMA)
14 Aprili, 2014 21:54 EAT

Je unaweza kuwa mpokeaji bila kutoa?

Kwa kutoa /kusaidia unabarikiwa,unaombewa, unapata maradufu, unajiwekea hazina si kwa uliempa tu bali hata kwa Mwenyezi Mungu. Kwa wanasiasa kutoa kunajenga jina japo sio lengo.

    Kupokea sasa vinaweza vikakutokea puani kama havina baraka. Vinakufaidisha  kwa mda mfupi. Unazoea kila siku unataka iwe hivyo, uvivu unakuingia, Huwezi kuweka akiba. Heshima inashuka.

Je uko wapi?


Ongeza Ujumbe Mpya

Karibisha watu kushiriki