Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations

Kusimamia  na kuratibu na shughuli za mashirika yasiyo ya kiserikali katika mapambano dhidi ya ukimwi wilaya ya Mtwara

Latest Updates
MTWARA AIDS NON GOVERNMENT ORGANISATIONS NETWORK added AHANO WOMEN GROUP to its list of Partner Organizations.
Ahano women group ni chama kilichopo chini ya mtandao wa mtangonet ktk mapambano dhidi ya ukimwi wilaya ya Mtwara
May 18, 2011
MTWARA AIDS NON GOVERNMENT ORGANISATIONS NETWORK added Chama cha Kupambana na Maambukizi ya Ukimwi Shuleni to its list of Partner Organizations.
Chama cha kupambana na maambukizi ya ukimwi shuleni ni chama kilichopo katika mtandao wa Mtangonet kwa shughuli za mapambano dhidi ya ukimwi wilaya ya Mtwara
May 18, 2011
MTWARA AIDS NON GOVERNMENT ORGANISATIONS NETWORK added CHAMA CHA WASTAAFU NA WAZEE [M] MTWARA to its list of Partner Organizations.
Chama cha wastaafu na wazee ni chama ambacho kipo chini ya mtandao wa Mtangonet katika mapambano dhidi ya ukimwi wilaya ya Mtwara
May 18, 2011
MTWARA AIDS NON GOVERNMENT ORGANISATIONS NETWORK joined Envaya.
May 18, 2011
Sectors
Location
Wilaya ya Mtwara, Mtwara, Tanzania
See nearby organizations