Envaya
Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Icyongereza. Edit translations

large.jpg

mwezeshaji kutoka Asasi ya NAESO Mr Noel Kalinga akiwezesha Waweshaji jamii kuhusu mipango shirikishi jamii inayohusu elimu kwa shule za msingi katani Nyangamara

 Tangazo la Ubia

Asasi  ya Nachingwea Agro-Environmental Services Organization (NAESO) yenye makao yake wilayani Nachingwea,Mkoa wa Lindi, inatafuta Partner Organizations za kitafa au  kimataifa zenye miradi ya kutekeleza katika mojawapo ya nyaja zifuatazo;

1. Climate Smart Agriculture

2. Tree planting

3. Elimu

4.Malaria, HIV na TB

5. Mining

6. Renewable energy

7. Beekeeping using commercial hives

8. watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi (most vulnerable children)

Asasi imesajiliwa chini ya sheria ya NGO.

Wasiliana nasi kupitia;

naesonach@yahoo.com au na executive secretary 0713857799