Envaya
Mashirika ya Ubia

Lilikokona Environmental and Farming Enterprises

LEFE ni mwanachama wa NANGONET katika kuhifadhi mazingira na kusaidia wakulima wadogwadogo.

UHIFADHI WA MAZINGIRA KAZAMOYO

UMIKA ni mwanachama wa NANGONET katika kuhifadhi mazingira.

WALIO KATIKA MAPAMBANO NA AIDS TANZANIA-NANYUMBU MTWARA TANZANIA

WAMATA ni mwanachama wa NANGONET. Tunashirikiana katika shughuli za jamii.

Mabadiliko Mapya