1.Kusaidia taasisi wanachma kupata na kufikishiwa sera na taarifa kutoka taasisi zisizo za kiserikali(NGOs) za Kitaifa na Kimataifa.
2.Kuwezesha ubadilishanaji wa habari,taarifa,ujuzi,uzoefu na masuala yanayozihusu taasisi hizo.
3.Kuwa kiungo kati ya taasisi Wanachama na viongozi wa Wilaya ,Mkoa,Taifa na Kimataifa.
4.Kuziimarisha na kuzijengea uwezo Asasi Wanachama kwa maendeleo ya wananchi wa Nanyumbu.
NI MWAMVULI WA ASASI ZISIZO ZA KISERIKALI WILAYA YA NANYUMBU.
Mabadiliko Mapya
NANYUMBU NON-GOVERNMENTAL ORGANISATIONS NETWORK imeongeza Lilikokona Environmental and Farming Enterprises kwenye orodha yake ya Mashirika ya Ubia.
LEFE ni mwanachama wa NANGONET katika kuhifadhi mazingira na kusaidia wakulima wadogwadogo.
17 Mei, 2011
NANYUMBU NON-GOVERNMENTAL ORGANISATIONS NETWORK imeongeza UHIFADHI WA MAZINGIRA KAZAMOYO kwenye orodha yake ya Mashirika ya Ubia.
UMIKA ni mwanachama wa NANGONET katika kuhifadhi mazingira.
17 Mei, 2011
NANYUMBU NON-GOVERNMENTAL ORGANISATIONS NETWORK imeongeza WALIO KATIKA MAPAMBANO NA AIDS TANZANIA-NANYUMBU MTWARA TANZANIA kwenye orodha yake ya Mashirika ya Ubia.
WAMATA ni mwanachama wa NANGONET. Tunashirikiana katika shughuli za jamii.
17 Mei, 2011
NANYUMBU NON-GOVERNMENTAL ORGANISATIONS NETWORK imejiunga na Envaya.
17 Mei, 2011
Sekta
Sehemu
MANGAKA NANYUMBU, Mtwara, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu
Tazama mashirika ambayo yapo karibu