Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations

large.jpg

NVRF Chachu ya mabadiliko Mabibo,Kinondoni, Dar es salaam na Tanzania nzima

large.jpg

Zawadi zilikuwepo kwa Mtoto alieleza vizuri majukumu ya Mtoto kwenye Jamii na Daftari ziligaiwa kama zawadi

large.jpg

Wasanii wa NVRF wakiwa wanaeleza juu ya haki za watoto

large.jpg

Vijana wakiwa makini kusikiliza juu ya haki zao

large.jpg

Vijana walisaidia Tamasha kuwa na watu wengi sana

large.jpg

Mhasibu wa NVRF akiwa anaserebuka na Watoto siku ya Tamasha

large.jpg

Mkurugenzi Mtendaji wa NVRF akiwa anateta jambo na waandishi wa habari wa ITV

large.jpg

Vyombo vya habari vilitoa taarifa juu ya Tamasha la wazi Juu ya Haki ya Mtoto ya Kuishi

large.jpg

Wasanii wa Stoms nao hawakuwa nyuma siku ya Tamasha

large.jpg

Msanii Maringo akitumbuiza siku ya Tamasha na Message ilikuwa ni Haki ya Mtoto ya kuishi