Envaya
Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri

large.jpg

Kila baada ya miezi mitatu NVRF wanawatoa watoto wao out ukiwa mdau wa karibu mwezi ujao tunategemea kuwatoa out unaweza kuchangia hata maji ya kunywa tu na utabarikiwa sana

large.jpg

Tunakuza vipaji kwa watoto Volunteer wa NVRF akiwa kwenye picha na msanii mtoto Nyamonde

large.jpg

Vijana wa NVRF nao walipata muda wa kuongea na ITV

large.jpg

Mkurugenzi wa NVRF ndugu Peter Kiangi akiwa anaongea na vyombo vya habari juu ya Taasisi ya N.V.R.F jana ofisini N.V.R.F

large.jpg

NVRF Traditional Group

large.jpg

Msanii wa NVRF Titus akiwa jukwaani siku ya Tamasha

large.jpg

Vijana wa ngoma

large.jpg

Vijana wakiwa kazini na umma ukiwa unashudia

large.jpg

Kijana akiwa jukwaani kuwaelezea wana jamii ya mabibo kile walichofundishwa siku ya semina angalia akiwa anahutubia zaidi ya watu 1000 na ni mchezaji wa mpira wa miguu NVRF tangia akiwa na miaka 7 na sasa ana miaka 12

large.jpg

Watoto walifurahia sana kujua kwamba kusoma ni haki yao ya msingi