Mgeni Rasmi Mtendaji wa Serikali ya Mtaa wa Jitegemee Mabibo akifungua Tamasha la wazi 2012
Comments (0)
Kikundi cha Ngoma kikitumbuiza siku ya Tamasha la wazi ambalo lilikuwa na watu zaidi ya 1000 na kupatiwa ujumbe kwa njia ya nyimbo na maigizo juu ya haki ya Mtoto ya kuishi
Baada ya Semina tulifanya Tamasha la wazi hili ni gari la PA likiwa ninatembea kuwaelezea wakazi wa Mabibo kitakacho fanyika siku inayofuata NVRF chachu ya mabadiliko.
Vijana wote waliwezeshwa kwenye semina na wawezeshaji wetu na baadae ilifika zamu ya majdiliano na kisha kuwasilisha majdiliano lakini kijana huyu alichokifanya ni kuelezea haki za watoto kama muwezeshaji na kumbuka ni Darasa la Nne lakini uelewa wake ni mkubwa sana na alikuwa anauliza maswali kama mtu mzima