Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations

large.jpg

KIJANA HUYU ANAHITAJI KUSAIDIWA. BAADA YA KULELEWA NA TAASISI YA NVRF KWA MUDA MREFU BAADA YA KUONDOKEWA NA WAZAZI WOTE WAWILI NA KULELEWA NA MMOJA WA VIONGOZI WA NVRF KIJANA HUYU SASA AMESHAFANYA NYIMBO MBILI NA ANAZI NYIMBO NYINGI TAYARI KWA KUFANYA SHOOTING ANACHOKOSA NI TSHs 3,000,000 (milioni tatu) mchanganuo ni kama ifuatavyo milioni mbili (2,000,000) kwa ajili ya shooting milioni moja (milioni moja) kwa ajili ya kurecodi nyimbo ambazo zitatumilka katika kufanyia record TUMSAIDIE HUYU KIJANA KWA MAWASILIANO ZAIDI WASILIANA NA MHAZINI WA N.V.R.F KWA NAMBA 0713 304409 AU 0767 304409. MUNGU AWABARIKI TUNAPOAMUA KUMSAIDIA KIJANA HUYU ALIYEZALIWA MWAKA 1989 KATIKA WILAYA YA KINONDONI

March 13, 2012
« Previous Next »

Add a comment

Your name:
Your location:
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.