Envaya

large.jpg

Kijana huyu alikuwa chachu kwenye semina zima

16 Aprili, 2012
« Iliyotangulia Ifuatayo »

Maoni (2)

RAMADHANI MGAYA (DAR ES SALAAM) alisema:
habari za hapo kwenu tunashukuru kwa kuielimisha jamii ya mabibo juu ya haki ya MTOTO

lakini mbona hamjaweka wazi kipi alikionyesha au mada ipi aliiwasilisha na mapendekezo bila kusahau changamoto alizozionyesha mpaka mkapenda kazi yake?

kumbukeni kuweka taariza zenu kwa kina ndio kitu pekee kitakacho fanya tuelewe nini kilijili

ahsante sana
16 Aprili, 2012
Nvrf tanzania (via email) alisema:
Kaka
Huku salama tumekuelewa ahsante kwa ushauri wako ndugu yangu
17 Aprili, 2012

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.