Utafiti wa jamii kuhusu hali ya mafuriko jijini Dar-es-salaam
Mabibo Sahara
Mitaro kujengwa upya
Upande wa nyumba umebebwa na maji
Sehemu ya kuishi imekuwa shida
Tangia mafuriko mpaka sasa hatujapata maji
Kabla ya mafuriko: Hana kazi | Sasa: (Hakuna jibu) |