Wajane wakifuatilia mafunzo juu ya mafunzo na wanavyoenda kutumia mafunzo hayo katika jamii
Wajane wakitoa ushuhuda juu ya mafunzo na wanavyoenda kutumia mafunzo hayo katika jamii
Wajane wakitoa ushuhuda juu ya mafunzo na wanavyoenda kutumia mafunzo hayo katika jamii.
Washiriki katika makundi na mjadala juu ya Wapi mashauri ya kesi yanapelekwa.
Mjumbe wa baraza la ardhi la Kata ya Katubuka akishukuru mafunzo aliyopata.anasema Tangu ashike madaraka,yeye na wenzeke-Walikuwa hawajapatiwa mafunzo ya aina yeyote juu ya sheria na kanuni za ardhi.hivyo mafunzo yamekuwa mkombozi kwa kamati na jamii
Huu ni ushuhuda alioandika baada ya kulidhishwa na uwazi na uwajibikaji katika KSPA.
Mr.Richard Katunka-Mwakilishi wa The foundation for civil society akishuhudia mambo mazuri ayojionea katika utekelezaji wa mradi.
Bi Lydia Kishimba akiwasilisha na kufundisha mada juu ya sera ya ardhi ya 1995.
Bi sharon joseph Mshiriki kutoka asasi ya Kinga za haki za Binadamu akichangia mada.