Envaya

Kuandaa mazingira bora kwa wafugaji wa kuku na jamii za ndege ili waweze kuendeleza shughuli zao za ufugaji na kuboresha kipato chao kwa lengo la kupunguza umaskini.

Mabadiliko Mapya
Poultry Farmers Development Organization (POFADEO) imeongeza Habari 5.
2 Mei, 2012
Poultry Farmers Development Organization (POFADEO) imehariri ukurasa wa Historia.
Jumuiya ya The Poultry Farmers Development Organization (POFADEO) ni jumuiya ya wafugaji iliyoanzishwa na wafugaji wakishirikiana na baadhi ya wataalamu wa mifugo. Jumuiya hii ilianzishwa kwa lengo la kuandaa mazingira bora ya ufugaji ili wafugaji hususan wa kuku na jamii za ndege waweze kuendeleza shughuli zao za ufugaji kwa ufanisi... Soma zaidi
13 Septemba, 2010
Poultry Farmers Development Organization (POFADEO) imehariri ukurasa mkuu.
13 Septemba, 2010
Poultry Farmers Development Organization (POFADEO) imeongeza Habari.
Mafanikio ya POFADEO – Jumuiya hii tangu ilipoanzishwa imefanya mambo mengi. Jumuiya imewahi kushiriki katika maonyesho mbali mbali yayoandaliwa na The Foundation For Civil Socity ikiwa ni pamoja na yale maonyesho yanayofanyika katika ukumbi wa baraza la wawakilishi Zanzibar, viwanja vya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,... Soma zaidi
8 Septemba, 2010
Poultry Farmers Development Organization (POFADEO) imeumba ukurasa wa Historia.
Jumuiya ya The Poultry Farmers Development Organization (POFADEO) ni jumuiya ya wafugaji iliyoanzishwa na wafugaji wakishirikiana na baadhi ya wataalamu wa mifugo. Jumuiya hii ilianzishwa kwa lengo la kuandaa mazingira bora ya ufugaji ili wafugaji hususan wa kuku na jamii za ndege waweze kuendeleza shughuli zao za ufugaji kwa ufanisi... Soma zaidi
3 Septemba, 2010
Poultry Farmers Development Organization (POFADEO) imejiunga na Envaya.
6 Agosti, 2010
Sekta
Sehemu
Chake Chake, Pemba Kusini, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu