Envaya

Habari za kazi wapendwa?

ni jumuiya kimaendeleo sudeso.mimi naulizia tu tokea tujisajili hadi leo hakuna taarifa  kutoka kwenu vp? au hatua gani tufanye ili kusukuma gurudumu la maendeleo?