Shirika la SOCOETY FOR WOMEN AND AIDS INA AFRICA (SWAA) linapenda kufanya kazi na watu mbalimbali wa kujitolea maeneo ya vijijini hasa wilaya ya Mvomero Wilaya hii ipo katika mkoa wa Morogoro, na kwa sasa shrika linaendesha mafunzo juu ya Haki za Binadamu hususani sheria za watoto. Elimu hii kwa sasa inatolewa katika kamati za shule, wazazi na walezi wawatoto waishio vijijini. TUNAKARIBISHA MAOMBI YA WATU WENYE LENGO LA KUJITOLEA KATIKA SHIRIKA LETU KUTOKA NJE YA TANZANIA KWA SABABU ZIFWATAZO. KWA SASA SHIRIKA LETU LITAKUWA NA UWEZO WA KUWAPOKEA WATU WA KUJITOLEA NA KUSIMAMIA SHUGHULI ZAO NJE YA MJI. MAENEO YOTE YA SEKTA AMBAYO WATAKUWA TAYARI KUJITOLEA, TUNAWAKARIBISHA. PIA IDARA ZOTA KATIKA HALMASHAURI YA MVOMERO AMBAYO WANGEPENDA KUFANYA NAYO KAZI WASEME ILI TUWAOMBEE KIBALI. KATIBA YA SHIRIKA LETU IPO HURU KWA SEKTA ZOTE IKIWEPO RESEARCH. PIA KWA YEYOTE MWENYE UTAALAMU WA KUANDIKA PROPOSOL AU MIRADI TUNAIMBA ATUSAIDIE. KARIBUNI SANA SWAA.
Mawasiliano.
1. JONADHAN DAVID. E- mail swaamo@yahoo.com
2 Prisca Mbezi-0713 249298 prisdavid@yahoo.com au swaamo@yahoo.com