Injira
Service to widows, orphans and the little ones organization

Service to widows, orphans and the little ones organization

Kyela, Tanzania

Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations

large.jpg

Mkurugensi wa Asasi ya SWOLO ahatima ya kifafanua juu ya maisha ya wasee katika Jamii na Taifa kwa ujumla wake

Tarehe 04.02.2015 Asasi ya SWOLO itakuwa katika Wilaya ya Busokelo ikihamasisha utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Wazee. Sera ambayo ina umuhimu sana kwa Wazee wa Taifa hili.