Envaya

Tanzanian Cancer Society - Tacaso

Dar es salaam, Tanzania

Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri

Tanzanian Cancer Society ni asasi ya saratani Tanzania ambayo imedhamiria kupambana kupunguza tatizo la ugonjwa wa saratani na kuboresha maisha ya wanaougua ugonjwa wa saratani.

Mabadiliko Mapya
Tanzanian Cancer Society - Tacaso imehariri ukurasa wa Mkuu.
Tanzanian Cancer Society ni asasi ya saratani Tanzania ambayo imedhamiria kupambana kupunguza tatizo la ugonjwa wa saratani na kuboresha maisha ya wanaougua ugonjwa wa saratani.
16 Desemba, 2014
Tanzanian Cancer Society - Tacaso imeongeza Habari.
Baadhi ya Wataalam wa Tiba Ya Mionzi katika Taasisi Ya Saratani ya Ocean Road
4 Desemba, 2014
Tanzanian Cancer Society - Tacaso imeongeza Habari.
SI KILA UVIMBE NI SARATANI Uvimbe ni nini? – Uvimbe ni ukuaji wa chembe hai za mwili(seli) usio wa kawaida na ambao hauwez kudhibitiwa na mwili. – Ukuaji huu huusisha kuaribika wingi(namba) pamoja na umbo la chembe hai za mwili. – KUNA AINA NGAPI ZA UVIMBE? ... Soma zaidi
28 Novemba, 2014
Tanzanian Cancer Society - Tacaso imeongeza psi kwenye orodha yake ya Mashirika ya Ubia.
28 Novemba, 2014
Tanzanian Cancer Society - Tacaso imeongeza Tanga Youth Development Association kwenye orodha yake ya Mashirika ya Ubia.
28 Novemba, 2014
Tanzanian Cancer Society - Tacaso imeongeza VOLUNTEER FOR YOUTH IN HEALTH AND DEVELOPMENT kwenye orodha yake ya Mashirika ya Ubia.
28 Novemba, 2014
Tovuti Nyingine
Sekta
Sehemu
Dar es salaam, Dar es Salaam, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu
OUR VISION
Tanzanian Cancer Society - tacaso is working hard to create the world where every person in Tanzania will have access to the best possible cancer services, and will have the lowest risk of getting cancer, the highest survival rates and the best information available when affected by cancer!