Ugonjwa huu kwa wengi ni ngumu kuuelezea. Kwani imani potofu na kukosa elimu sahihi hupelekea kila mtu kuwa na mtazamo wake binafsi.
Tungependa kusikia unaufahamu vipi au umeusikia ni ugonjwa wa aina gani na tiba yake ni nini?