Fungua
TRUSTEES OF TANZANIA NATIONAL MALARIA MOVEMENT

TRUSTEES OF TANZANIA NATIONAL MALARIA MOVEMENT

NANYUMBU, Tanzania

1.Kusaidia kuleta mabadiliko katika jamii katika kupambana na Malaria.

2.Kuhamasisha jamii katika kujikinga na Malaria kwa kuweka mazingira katika hali ya usafi.

3.Kuhamasisha akina mama wajawazito kuwahi mapema Kliniki.

Mabadiliko Mapya
TRUSTEES OF TANZANIA NATIONAL MALARIA MOVEMENT imejiunga na Envaya.
17 Mei, 2011
Sekta
Sehemu
NANYUMBU, Mtwara, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu