Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri
TAYODA believes that, the Draft Katiba agenda mostly need the Agenda setters - herein refers to Youthtz.
Maoni (0)
Vijana tunayo nafasi kubwa na ya kipekee kushiriki kwenye mchakato wa Katiba kwa kuisoma na kuchangia kwenye Rasimu ya Katiba Mpya. KaribuniRasimu-ya-Katiba-2013.pdf
Adha ya maji inayowakabiri wanakijiji wa Chogora kata ya Masa, Mpwapwa walipotembelewa na TAYODA. Septemba 3,2012.
Kikundi cha TAYODA - Iyoma wakiwa shambani kwenye maandalizi ya kilimo. Septemba 3,2012.
Baadhi ya Vijana wa kikundi cha TAYODA cha kijiji cha Msagali wakieleza changamoto zinazowakabiri kwa sasa. Septemba 3, 2012.