Base (Icyongereza) | English |
---|---|
Umoja na mshikamano tuliokuwa nao ndani ya Mali hai hakika umetujenga sana, kutuachia kumbukumbu ya kumkumbuka Rais wetu wa serikali Sadiki Katindasa, Mujungu na Feliciani bila kumsaau Saitabau,walianzisha kundi hili,Kavishe na kundi lilofuata kupokea kijiti hicho na badae kutukabidhi kijiti. mungu bariki chuo chetu |
(Not translated) |
Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe