Asili (Kiingereza) | English |
---|---|
Asasi ya PDPR imezindua mradi wake wa kutoa mikopo na kuuza vifaa vya ufugaji kuku na kilimo kama Vitotozi vya mayai, Mizinga ya Nyuki, Vifaranga vya kuku, samaki, kware, Biogas plant, Mashine za kuchomelea, kufyatulia tofari pia tunatoa mafunzo ya ujasiriamali, ufugaji, kilimo na kuuza vitabu mbali mbali kwa TSH: 2000/= tu Piga 0754397178 au 0652556833kwa maelezo zaidi. pia wanatafuta mawakala wa bidhaa zao. |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe