Base (Icyongereza) | English |
---|---|
Mimi ndio nipo kwenye hatua za mwisho za uchongaji wa mizinga 10 (Langstroth)... Ila mpaka sasa bado sijapata uhakika wa soko la hii asali itakayo kuwa inazalishwa. Pia nimeona baadhi ya wachangiaji wa hii mada wameulizia soko la asali bila kupewa majibu... Je kweli kunasoko la uhakika..?? Je kuna uwezekano wa kupata soko la mkataba kwa bei ya kudumu kwa muda fulani..?? |
(Not translated) |
Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe