Asili (Kiingereza) | English |
---|---|
Wala usijali mafunzo hayo yanawezekana, peleka maombi yako chuo cha ufugaji nyuki Tabora. Watakupatia utaratibu wa namna nzuri ya kujifunza na kupata cheti unachokitaka na utakuwa mtaalam. |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe